Mie nina Nokia E51, huwa ikitokea imemisbehave naingia kwenye link ya GSMArena.com - GSM phone reviews, news, opinions, votes, manuals and more... then nasellect phone model yangu
halafu naingia kwenye User comments and review. huwa utakuta tatizo lako lilishawakuta watu wengine..hapo unaangalia lilitatuliwa vipi na ww una
tumia hiyo solution yao kuadjust tatizo lako.
hebu bofya hapa na kisha ufuatiiie hioz user comments zao uangalie kama kuna mtu qaliwahi kupatwa na tatizo lako.