Msaada wa kiufundi

Una maana kwamba haiingii kabsa internet? Au data hazipandi? Au unaongelea internet ipi??
 
Nenda kwenye setting> more network >cellura network >access point name> add vpn > sas apo katika apn andika "intenet" kwa herufi ndogo na name andika "intenet"

Hizo APN na name nikutokana na mtando unaotumia
Kwatigo tumia kama hizo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…