mandingo 94
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 269
- 196
Kuhusu jinsia hujaeleza vizuri kama ni Me/Ke.
Ok ukirejea kwenye topic hapo juu, Mwanzo walionekana kama Google Adsence kukataa kutangaza kupitia blogu yako kwa kipindi hicho (huenda hukuwa na vigezo).
Lakini baada nimeona kama walikukubalia. Je, ulianza kurun matangazo? Naomba kufahamu kwanza hilo.
Harafu blogu yako unatumia lugha gani?
Ushauri kwanza kama account hiyo ni yako basi dalili Jina walau libaki hilo la mwisho.Jina Lina washangaza wengi Ila mm ni mwanaume lijari.
Mwaka 2016 Hadi 2018 nilikuwa natumiq lugha ya kiswahili na badae wadau wakaniambia lugha yetu Haina mchongo AdSense nikabadi na nikaweka kimombo post 2 badae Mambo yakawa mengi ckuta nafasi Tena ya Mambo ya blog sas siku nliyoweka post ndiyo wamenitumia email ambazo nimescreenshort hapo juu namim sielewe chochhote jinsi ya kuonganisha Kati ya blog na AdSense
Hapo itakuwa vizuri lakini kama inawezekana tengeneza blog nyingine kwa ajili ya kingereza ili blogu ya awali uitumie kukuletea watembeleaji kwenye blogu mpya.Kama nitafuta post za kiswahili nikaandika posti kingereza so freshi lakini
Mkuu...nakuomba DM tafadhaliHapo itakuwa vizuri lakini kama inawezekana tengeneza blog nyingine kwa ajili ya kingereza ili blogu ya awali uitumie kukuletea watembeleaji kwenye blogu mpya.
KaribuMkuu...nakuomba DM tafadhali
Nshakuja kaka....chekKaribu
Karibu blogger mwenzangu kwenye ulimwengu wa bloggingHàbar ndg zangu Kama kichwa Cha hàbar kinavyo jieleza kijana mwezenu nipo mbele yenu nishida kidogo naitaji msaada kuhusu blog pamoja na mshirika wake Google AdSense kiupi kabla sijaanza jieleza shida yangu naomba niwaondoe Shaka maana wengi wataoji jina hili nalotumia kwani wengi wanauliza jinsi na sio mada usiku mim nilikuwa na account humu jf miaka mingi Sana Sasa na shangaa inanigomea kufunguka kwaiyo nikaona nitumie email ya mama kipenzi kwaiyo kijana mwenzenu umri wa miaka 27 natumaini kwa ufupi mumenielewa sas tuje kwenye shida yangu.
Miaka 6 iliyopita nifungua blog na sikuwa mtaalamu Sana wa Mambo haya nilifanikisha kwa kuangalia video za YouTube Kisha nikaomba maombi AdSense siku fanikiwa kwakuwa sikuwa na ujuzi wowote ule Ila Leo hii naandika hii post nimeweza kutumiwa ujumbe na Google AdSense ilabado sijui kwa kuazia ili matangazo ya weze kuonekana kwenye ka blagger kangu hako pia nimejaribu kuweka maana mim c mjuzi Sana wa Mambo haya naomba wajuzi wa kazi munisaidia Kama kunasehemu nitakuwa nimekosea niwez kusawazisha.
View attachment 2149398View attachment 2149399View attachment 2149400View attachment 2149401View attachment 2149402View attachment 2149403View attachment 2149404View attachment 2149406View attachment 2149407View attachment 2149408View attachment 2149410View attachment 2149411
Kiswahili unatumia matangazo ganiMimi nimebase kwenye kiswahili maana hao adsense ni risk sana dakika tu unakula ban
Adsterra IssaZilla
wap Tena kiongozirudini