Mwenye anayejua tiba ya prostatitis (prostate bacteria information)
Kwa kutumia mitishamba
Ningependa waliotumia wakapona au mtu anayejua mtu aliyepona iyo dawa wachangie mawazo kuliko wauzaji maana wengi hi base kwenye biashara zaidi kuliko ukweli..
Na dawa ya gass tumboni.
TIA.
Sent using
Jamii Forums mobile app