Msaada wa kitabibu: Nasumbuliwa na vidonda vya tumbo kwa muda mrefu

MUME WETU

Member
Sep 23, 2016
24
12
Nasumbuliwa na vidonda vya tumbo kwa muda mrefu sasa,naombeni ushauri wa kitabibu!Natanguliza shukrani zangu
 
Nasumbuliwa na vidonda vya tumbo kwa muda mrefu sasa,naombeni ushauri wa kitabibu!Natanguliza shukrani zangu
Mwalimu wangu wa olevel alinambia maziwa ya ngamia ni kiboko ya vidonda vya tumbo....baadhi ya super market ya arusha yapo Yale yanauzwa....but ukipata Yale ambayo hayajapita kiwandani glass moja niliambiwa kwisha habari yake......
Lakini pia kama upo bukoba njoo pm nikuunganishe na rafiki angu alikua na hilo tatizo.....alihangaika sanaaaaa....mpk alikua anazimia but alipata dawa ya mitishamba mpaka Leo imebaki story huo ugonjwa...
 
Dawa ya kwanza ya vidonda vya tumbo ni kupunguza stress za maisha na kurelx.. Ukitimiza hilo, kunywa maziwa wiki mbili mfululizo utapona...
 
Dawa kubwa ya vidonda vya tumbo ni kujua kitu gani kimepelekea uvipate...take it from me ...Me nimepona kabisa juzijuzi na vilisababishwa na utumiaji wa caffeine uliopitiliza.
 
Mwalimu wangu wa olevel alinambia maziwa ya ngamia ni kiboko ya vidonda vya tumbo....baadhi ya super market ya arusha yapo Yale yanauzwa....but ukipata Yale ambayo hayajapita kiwandani glass moja niliambiwa kwisha habari yake......
Lakini pia kama upo bukoba njoo pm nikuunganishe na rafiki angu alikua na hilo tatizo.....alihangaika sanaaaaa....mpk alikua anazimia but alipata dawa ya mitishamba mpaka Leo imebaki story huo ugonjwa...
Ahsante!!!!!!!!! Nipo Arusha mkuu unaweza nielekeza mojawapo ya supermarket nikatafute hayo maziwa!
 
Natumia maziwa kila siku tangu mwaka juzi sioni unafuu
Basi punguza stress. Ulcers sio ugonjwa bali ni dalalili za ugonjwa. Most likely unaumwa ugonjwa wa Anxiety disorder au Depression. Embu google kuhusu hayo magonjwa upate kuyafahamu zaidi...
 
Ahsante!!!!!!!!! Nipo Arusha mkuu unaweza nielekeza mojawapo ya supermarket nikatafute hayo maziwa!
Nenda supermarket kubwa kubwa ukaulizie mkuu...coz me mwalimu wangu alituambia tuu...akasema arusha supermarket kubwa kubwa yanapatikana.....kama kwweli umeteseka na huo ugonjwa katafute
 
Nasumbuliwa na vidonda vya tumbo kwa muda mrefu sasa,naombeni ushauri wa kitabibu!Natanguliza shukrani zangu
Mkuu nitafute nipate kukutibu kwa siku 30 utaponaVidonda vyako vya Tumbo na utakuwa unakula chakula unacho kitaka . ukihitaji matibabu toka kwangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 
Yeyote anaesumbuliwa na vidonda vya tumbo anipm ninayo dawa yakumaliza kabisa hilo tatizo, karibuni sana
 
Back
Top Bottom