Hapana, ndiyo utaratibu wa bima. siyo kwamba wanakuibia. Lakini inategemea pia umejielezaje huko bima na maelezo uliyoandika. kama umesema alikuwa anaitumia mtu mwingine, kwa hiyo ni lazima wajiridhishe kwamba mtu aliyekuwa anaitumia ni mtu sahihi meaning, ana leseni ya kueandesha. Kama ikitokea hakuwa na leseni basi hawalipi. Hiyo ndiyo policy ya Bima. Ndiyo maana wanataka sana hiyo sana hiyo leseni.