Mama ana uwezo mkubwa sana wa kumtunza mtoto kuliko Baba ,Kama alivyosema aliyetangulia hapo juu mahakama katika kudetermine custody ya mtoto principle 'best interest of the child' inatumika.
sasa kama huyo mwanamke anaweza kuthibitisha kwamba ana nafasi nzuri ya kumtunza mtomto mahakama itaamua
kwa uzoefu wangu mahakama mara nyingi hutoa ruhusa kwa mama kumuona na kuishi na mtoto vipindi vya likizo kwa uhiano sawa kati ya baba na mama
Mama ana uwezo mkubwa sana wa kumtunza mtoto kuliko Baba ,[/Q
vp mtoto anasoma ?Mama ana uwezo mkubwa sana wa kumtunza mtoto kuliko Baba ,
bording or day ?
kiafya je yupo vizuri ?
umri ?
nadhani hayo maswali yatasaidia kujua nani ana nafasi bora zaidi ya kubaki na mtoto na kumuhudumia pia in th first instance nadhani mama kuruhusu mtoto apelekwe kwa bibi alikosea na kitendo hicho ni advantage kwa upande wa baba although kulikuwa na makubaliano
vp mama anapata haki ya kumuona/spend time na mwanae kipindi cha likizo na sikukuu ?Mama ana uwezo mkubwa sana wa kumtunza mtoto kuliko Baba ,
Mama ana wiki sasa toka alivyorudi Tanzania , bado hajabahatika kuonana na mtoto kwa kuwa Baba wa mtoto hatoi ushirikianovp mama anapata haki ya kumuona/spend time na mwanae kipindi cha likizo na sikukuu ?
vp mtoto anasomeshwa?Mama ana wiki sasa toka alivyorudi Tanzania , bado hajabahatika kuonana na mtoto kwa kuwa Baba wa mtoto hatoi ushirikiano
Hatujawahi kumuona Baba yake anamficha na anaishi mkoa mwinginevp mtoto anasomeshwa?
na kiafya anaendeleaje?
Asante , ntamwambiaMwambie aende wilaya alipo huyo jamaa afungue kesi mahakamani .
Msaada jamani kuhusu masuala ya mirathi mtu anapofika sehemu kufunja sheria zake na misingi yake mwisho kubadilisha hati ya nyumba
Mtoto yupo zanzibar Mama yupo Dar... je kesi afungue wapiMwambie aende wilaya alipo huyo jamaa afungue kesi mahakamani .