Msaada wa kimawazo

 
Kama ni kweli kuwa ana mshahara Mkubwa kbs kuliko wewe na hataki muongelee habari ya future yenu huenda ana mwanamke mwingine ambaye pia ana malengo naye.

Ila kama sivyo, inawezekana kabisa kuwa anakupenda kweli na ana malengo nawewe ila hataki/hapendi kukuoa akiwa na hali flani ya kiuchumi aliyo nayo hivi sasa. Labda anapredict akishafanikiwa suala flan ndipo muoane.

Nimeandika hayo kupitia experience. All the best.
 
Pole sana..jifunze kwa makosa yako..piga chini huyo
 
Huyo anakupenda kinafki tu..zinduka kabla hajakulimbikizia madeni na ukitupwa jela ujue atachekelea kwa kupasi mission yake ya kukufanya mjinga
 
wewe moyo wako unakusemeza nn juu yake? ni kiasi cha kupima tu upenzi bubu hivyo ukiingia ndoani si utataabika? mana nyota njem huonekana asubuh kua na msimamo hapa namanisha alipe pesa za watu kama hataki jipange urudishe then punguza mawasiliano kidogokidogo akija naishu za kuomba pesa mwambe sina usimuonelee huruma then nikuambie tumapenzi ni vitendo n sio maneno na kuna kupendana sio nampenda mmeshakua wawili mnapaswa kushirikishana sio kila mtu ajiangalie mwenyewe

pole!
 
Yote yanawezekana
 
Asante kwa ushauri
 
Poor you!
Being in your late 20's ickufanye upate shidahadi udate na mtu anaekufanya nafs yako ilie.. You need to be happy ufurahie mapenz cyo uteseke na kuumia
1,ushagundua ni selfish
2,ni marioo mzur tu
3,hajali furaha yako
4,anakutumia kwa faida zake ndo maana hawez toka out na ww na ucpoangalia anakuita cku akiwa na mihemko tu
5,hana future na wew yupo na ww kwa economic reasons tu uku muda wako unaenda ucdanganyke kuitwa mke akat hajakuoa na uckute ana mke + watoto mama
6,jiulze ukiolewa nae itakuaje na ucrogwe kubeba mimba et ndo akuoe utalia mchana na ucku peke yako... I'm telling you vzur tu kama unaumia vunja hyo relationship asubuhi na mapema afu take time.. Wanaume wanatofautiana just like us girls kuna wadangaj na wakuish nae! Akili kumkichwa mae!
 
Yan mamy tena atalia mno nilipata hyo relationship mtu ana kaz hakupi hata Mia mbovu tena ww ndo unampa na you are still chuo boom mnakula wote afu anaenda kula bata na washkaj akifulia anakupgia cm c anajua unampenda utampa tu! But Ilpovunjika nlkunywa wine Chupa nzima kusherekea my freedom from that hell... And inabd atambue every decision has a price! Lazma awe lonely na aumie tu kwa ajili ya maisha yake!
 


haaha mie jaman sipend mtu mbinafsi !nahis sinaga lugha ya kuelezea!hongera sana
 
Dada jipange upya kwa mtu mwingine hapo hamna mume afu pia kwa age yako ndio haswaa unapaswa kuwa makini maana nibora ukosee kununua cm lkn sio mke wala mume
 
Thank you kwa ushauri wako nitaufanyia kazi
 
Ila hawa wanaume najiona kabisa naenda kukata tamaa
 
Amekuoa??? kama hajakuoa embu jiongeze na wewe, ya nini uteseke?
 
ukiona manyoya ujue......hapo unatumika na huruma yako ya kudhani utapendwa imekugharimu sana....
Sijui kwa nini hua mna complicate mapenzi...yaani "if u love, give n receive nothing in return" then upo mahala hutakiwi kabisaaaaaaa.....kuedelea kubaki ni kuedelea kuumia sana tu...wewe ndio mlinzi wa moyo wako at 100% usitegemee yeyote yule aje kusimama kwa ajili yako..unavyoona mambo yanakwenda sivyo na hata baada ya kumwambia mwenzio yapo vile vile ni ishara unachukuliwa poa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…