Mimi ni mhitimu wa kidato cha sita mwaka huu (2018) na matokeo yafuatayo;
Economics D
Commerce A
Accountancy B
G/Studies E
BAM E
Tatizo ni kwamba o'level nilipata F ya B/MATHES na D ya Book keeping.. Je naweza kupata nafasi vyuo kama UDSM na Mzumbe??
Asante.