Swali tu . Uwe mwanaume au mwanamke niambieni eti mpenzi wako akikuomba picha zako za kuonesha sehemu zako mf. Za mapaja,maziwa mwili kwa ujumla utatuma? Au utakata just asking.
Ukiwa naye huwa haoni hizo sehemu?Anataka kwa mtindo wa picha ili ajifunze nini?Kama kwenye sufuria(mwili mubashar)hakuridhika,picha ndiyo zitamridhisha?Fungeni ndoa muishi wote awe anakuangalia muda wote.