Tafuta eneo lenye chanzo cha maji tafuta pump inch mbili pamoja na mpira wake tafuta mbegu ya bamia aina ya royal anza kulima, hautojuta ndugu maana bamia ni siku 75 tu baada ya kupanda
Mimi nina mtaj wa 650000. Je nlikua naomba mnijuze kilimo gani kwa bei hiyo itafaa? au
kama kuna biashara nyingine nzuri inayolipa.
Mpunga ndo utakufaa
Sent using Jamii Forums mobile app