macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,451
- 61,222
Mkuu,
Kama account inayopokea hizo hela ni ya dollar, basi pesa hizo zitaingia kwenye hiyo account kama dollar. Endapo account inayohusika ni Tshs. basi pesa hizo zitabadilishwa na kuingizwa kwenye account kama shillingi. Exchange rate inayotumika kubadirisha hizo dollar kuwa Tshs. inaamuliwa na benki kwani benki zinakuwa na exchange rate ya kila siku.
Nafikiri nimetoa ufafanuzi sahihi lakini kama kuna member anafikiri maelezo yangu sio sahihi basi ataeleza.
Tiba
mkuu,
kama account inayopokea hizo hela ni ya dollar, basi pesa hizo zitaingia kwenye hiyo account kama dollar. Endapo account inayohusika ni tshs. Basi pesa hizo zitabadilishwa na kuingizwa kwenye account kama shillingi. Exchange rate inayotumika kubadirisha hizo dollar kuwa tshs. Inaamuliwa na benki kwani benki zinakuwa na exchange rate ya kila siku.
Nafikiri nimetoa ufafanuzi sahihi lakini kama kuna member anafikiri maelezo yangu sio sahihi basi ataeleza.
Tiba
Mkuu,
Kama account inayopokea hizo hela ni ya dollar, basi pesa hizo zitaingia kwenye hiyo account kama dollar. Endapo account inayohusika ni Tshs. basi pesa hizo zitabadilishwa na kuingizwa kwenye account kama shillingi. Exchange rate inayotumika kubadirisha hizo dollar kuwa Tshs. inaamuliwa na benki kwani benki zinakuwa na exchange rate ya kila siku.
Nafikiri nimetoa ufafanuzi sahihi lakini kama kuna member anafikiri maelezo yangu sio sahihi basi ataeleza.
Tiba
You are right, labda kwa lugha ya ushahii kabisa ni kwamba, exchange rate inaamuriwa na nguvu ya soko!!!
Inategemea pia na amount kama ni kubwa lets say USD 100,000 + unarhusiwa ku jadili rate(special rate)itakayotumika for conversion
You are right, labda kwa lugha ya ushahii kabisa ni kwamba, exchange rate inaamuriwa na nguvu ya soko!!!
Wakuu nawashukuru kwa info zenu... Labda niongezee swali dogo... je, kama fedha zimeingia leo na nikaona exchange rate iko chini, je, naweza kusubiri mpaka exchange rate itakapokuwa nzuri ndio niende kuzichukua? (sina maana ya kukaa sana ... eg miezi mitatu... hapana... namaanisha a reasonable time eg one week)