Heshima zenu wakuu, naombeni mnisaidie kibarua chochote halali, nimetafuta kazi sujafanikiwa miaka minne sasa, elimu yangu ni ya chuo kikuu fani ya mass communication, ila sichagui ajira siangalii mshahara, atakae kuwa tayari kunisaidia no yangu ni 0786312197.
Asanteni