habari za muda huu ndg zngu. Nmefanikiwa kufulifungua 'compressed' file ambalo lilikua zipped ila tatizo linakuja kufungua mafaili yaliyo ndani yake ysnahitaj "keys" je nifanyaje ili kuzipata keys au njia nyingne ya kufungua haya mafaili.
Hayo mafaili ni yako? Kama siyo yako owner wake aliyawekea password. Bila hiyo password/key huwezi kuyafungua. Kama ni yako jaribu kukumbuka password uliyotumia...