Natanguliza salamu wana jf hali ya maisha imenifanya kuomb msaada hapa nina elimu ya wastani naomba kazi popote tanzania kaz yoyote dukani, ofisini jaman msaada stress zimeanza nimekaa nyumban imetosha. Kazi popote ntaenda nina degree ya maendeleo ya jamii na mipango. Nimemaliz mwaka huu 2012. Hata kam hyo kaz inatak form four nko tayari . Asanteni