Msaada wa kazi

Msaada wa kazi

kingkaka_12

Member
Joined
May 17, 2021
Posts
17
Reaction score
22
Habari Ndugu wa Jf
Mie ni kijana wa 27 natokea mwanza ombi langu humu leo ni nafasi ya ajira nina uzoefu wa udereva usio pungua miaka 9 pia nina uzoefu wa mashine za ujenz wa barabara (excavator) usio pungua miaka 4 sasa naomba mwenye nafasi au hata connection yoyote anishike mkono niweze kujipambania maan nina familia inanitegemea mzee wangu anasumbuliw na sukari iliyo mpelekea kukatwa mguu mmoja so naomba msaada wa kazi au connection

Number yangu 0629579917
 
Back
Top Bottom