Msaada wa kazi

Fighter007

Member
Joined
Jan 9, 2019
Posts
8
Reaction score
52
Wakubwa zangu habari za majukumu.

Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu,

Mimi ni kijana wa miaka 24,

Elimu yangu form 4,

Jinsia ya kiume

Mzaliwa wa Dar es salam.

Naombeni kazi ndugu wana jamii forums kazi yoyote naweza kufanya ila isiwe ya haramu

Hata ikiwa nje ya nchi nipo tayari kufanya ninayo International pass.

Ahsanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…