Msaada wa kazi

Msaada wa kazi

igowole

Member
Joined
May 25, 2015
Posts
78
Reaction score
33
naomba anae weza nisaidia mdg wang akaweza kupata kazi
elimu ni degree ya uongoz katika biashara
alie tayar kunisaidia ani PM tafadhal wakuu hela ya soda ipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo hela ya soda itumie kununua bando ufungue sites kama Zoom, Brightermonday huko nafasi zinatangazwa kila siku ni wewe tu.
NB: ukipata nafasi huko, na namna ya kuapply humo humo kwenye site ikawa ngumu inachitakiwa kufanya ni ku-google hiyo organization/company ilitangaza nafasi ili kupata contact zao, kisha apply kupitia hiyo contact kulingaba na maelezo waliyoweka kwenye tangazo la kazi
 
Back
Top Bottom