Msaada wa kazi yoyote ya muda

sawee225

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2017
Posts
3,227
Reaction score
12,126
Wakuu salaam,

Mimi ni (me), nikiwa kama mwanachuo ninaetarajia kumaliza mwaka huu Bachelor Degree in Education na kama mnavojua hali ya Corona imefanya tuwahi mtaani kwa muda.

Naombeni kibarua chochote kitakachoweza kunipa angalau mlo wa mchana na usiku na sehemu ya kulala kwa muda huu ambao nipo likizo.

Nina experience kidogo pia kwenye maswala ya computer.

Asanteni.

Napatikana Arusha

0759744190

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…