Jiajiri.
Pole utafaniliwa usikate tamaa
mtaj kaka,hata kula napga kalenda za masaa ili cku ziende
Hallow wanaJF, nna degree ya information technology ,ila ni miaka 2 ss cjapata kazi hata ya kujishikiza ,nazidi kuhangaika uku na kule kutafuta chochote ili niweze kuwasomesha wadogo zangu ,tafadhal naamin hii ni jamii kubwa yeyote mweny msaada wa kazi hata ya kujitolea na Mungu ambariki.
Usihofu mkuu, Mungu yupo pamoja nawe na anaijua haja ya moyo wako, na lengo lako litatimilizika siku moja. Keep on praying
msomi mwenye degree ajibu hvi badala ya kuuliza ujiajirije unasema mtaji?!! bongo yetu balaaa.mawazo ya mtu pia yanaweza kuwa mtaji kiongoz usikimbilie kuajiriwa
Kwakua umesoma IT hebu jaribu hiiHallow wanaJF, nna degree ya information technology ,ila ni miaka 2 ss cjapata kazi hata ya kujishikiza ,nazidi kuhangaika uku na kule kutafuta chochote ili niweze kuwasomesha wadogo zangu ,tafadhal naamin hii ni jamii kubwa yeyote mweny msaada wa kazi hata ya kujitolea na Mungu ambariki.
Jiajiri.