Shekuna
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 688
- 549
Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 25, Ni muhitimu wa chuo kikuu cha Dar es Salaam miaka miwili iliyopita, Bachelor Degree in Political Science and Public Administration, Nina ujuzi Mkubwa wa kusimamia miradi ya Maendeleo nikiwa na uzoefu wa Afisa Rasilimali watu Wilaya,Msimamizi Mkuu wa Uchaguzi ngazi ya Kata .
Lakini pia nina ujuzi katika research kwenye data collection, data analysis kutumia excel, presentation, Leadership, Report writing Na nina uwezo mzuri wa kutumia lugha ya kiingereza.
Natafuta kazi iwe rasmi au isiyo rasmi kwa mtu binafsi au kwenye taasisi yoyote ya umma au business sector naweza kufanya Kama sales person,customer, HR, Administrator, etc.Pia naweza kusimamia biashara yoyote halali
Nahitaji msaada wenu ndugu zangu Kwa yeyote mwenye kazi au connection yoyote itakayo niwezesha kufikia lengo langu nitashukuru sana.
Nipo Dar lakini naweza kusafiri mahali popote nafasi itakapo patikana.

tena