Habari za Kazi ndugu zanguni. Mimi ni Kijana mwenye miaka 20, ninajitegemea na ni mwaminifu sana pia nina wadhamini. Natafuta kazi yeyote ile ambayo ipo au niseme imebakia kokote hapa Dar-Es-Salaam. Ninaweza kubeba mizigo au kazi yeyote ile ambayo wewe kama muajiri yangu utaona inanifaa sichagui kazi. Nipo tayari kufanya hata kama ni kibarua cha muda mfupi. Nimesha fanya kazi mbalimbali kama kibarua kwenye sites za ujenzi, kusambaza bidhaa mbalimbali kwenye majumba n.k Namba yangu ya simu ni 0719565358. Ninakaa Tegeta ila nipo tayari kufanya kazi hata kama ni Chalinze. Ntashukuru kama mtanisaidia na nnamuahidi yeyote atakayeniajiri kwamba nitafanya kazi kwa bidii na kamwe hatojutia maamuzi yake. Mnitafute kupitia 0719565358 / 0763617517.
Ahsanteni
Ahsanteni