Msaada wa join instruction ya Chamwino sekondarI Dodoma

Msaada wa join instruction ya Chamwino sekondarI Dodoma

limbeli

Member
Joined
Apr 18, 2018
Posts
74
Reaction score
96
Mwanangu amechaguliwa shule ya sekondary Chamwino Dodoma kidato cha tano naomba kupata msaada wa join instruction ya shule hiyo.
 
Mwanangu amechaguliwa shule ya sekondary Chamwino Dodoma kidato cha tano naomba kupata msaada wa join instruction ya shule hiyo
ingia tamisemi utakutana na Pdf yenye join instructions
 
Hata mimi nimepata hii changamoto
Screenshot_20210610-181026_Chrome.jpg
 
Jamani waungwana bado nina changamoto ya hii joining instruction, nahitaji ya ASHIRA SEKONDARI anayeweza kuipata anisaidie
 
Jamani waungwana bado nina changamoto ya hii joining instruction, nahitaji ya ASHIRA SEKONDARI anayeweza kuipata anisaidie

Ingia google search jina la shule itatokea contact ya shule call hio contact elezea shida ako utapata msaada ASAP (I tried kwa mtu aliekua na tatizo kama lako issue ilikua solved within 5mins)
 
Back
Top Bottom