Fungua hyo app katika computer yako ikiwa online kisha nenda katika simu yako fungua whatsaap yako kisha pembeni yako kuna vinukta vitatu bonyeza hapo katika hvyo vinukta vitatu kisha nenda mpaka katika neno whatsaaapweb bonyeza hapo katika hvyo whatsaaapweb kwa pemben utaona utaona + bonyeza hapo itafungua kama kamera sasa hapo nenda katika ile whatsaap ya computer ulioifungua utafanya kama unascan katika hvyo QR CODE iliyonyeshwa katika screen yako ya computer ikisha scan tu automatically italeta kila kitu chats zako,na majina yote