Msaada wa jinsi ya kutumia mobile internet

Tony Laurent

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2011
Posts
6,445
Reaction score
8,418
Nimenunua smartphone ya Sony Xperia E dual C1065 hivi karibuni. Tatizo nililo nalo ni kwamba nimeshindwa jinsi ya kujiunga (connection to mobile internet) na internet inayotumia kadi ya simu. Wireless ya Wi-Fi ya ofisini nimeweza kuunganisha. Hivyo naomba msaada kwa yeyote anayefahamu jinsi ya kuunganisha na internet ya simu wakati wowote . Mtandao ninaotumia ni Airtel.

Asante
 
nafikiri hapo ni configaration tu waone internet service provider (ISP) wataweka mambo sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…