mwita burure
Senior Member
- Jul 8, 2016
- 192
- 39
Ndungu wana jf habari za wakati nina sm ina matatizo kidogo nilikuwa naomba kuna uwezekano kuiflash kwenye pc yangu mnielekeze niiflash au lazima niende kwa fundi aniflashie msaaada tafadhari
Sasa sisi tutajuaje aina ya simu yako? Na ina tatizo gani had utake kuflashNdungu wana jf habari za wakati nina sm ina matatizo kidogo nilikuwa naomba kuna uwezekano kuiflash kwenye pc yangu mnielekeze niiflash au lazima niende kwa fundi anifurashie msaaada tafadhari