Habar zenu wandugu:
Nina pc yangu kwa mda wa mwezi mmoja sasa, niliweka window 8 software, lakin kwa mda wa wiki moja sasa imekuwa ikiniambia "ACTIVATE WINDOWS" 'go to pc settings to activate windows' nimejaribu kuangalia hizo settings lakin sijafanikiwa, pia nimejaribu kuingia kwenye internet kujaribu kutatua tatizo, lakin sijafanikiwa.
Naamin kupitia jukwaa hili kuna wataalamu wa masuala ya windows ambao wanaweza kunisaidia ktk hili.
Karibuni ktk michango yenu.