Mimi ni mteja wa Vodacom na simu yangu ni Iphone 3gs.
Katika matumizi ya kawaida nikapata sms kutoka Vodacom inayoniambia ni follow link hiyo ili nifanye setting ya internet. Kila nikiclick browser inakataa, message ni kuwa it can not open the link or server. Naomba mwenye maujuzi ni kwa nini inakataa? Ila naendelea kupata internet kama zamani. Au simu yangu ya kichina?