Ni office version ipi?Nashindwa kuinstall Microsoft office kwenye laptop yangu. kila nikijaribu inakuja na ujumbe wa "Something went wrong". Nimejaribu kila njia zinazoelekezwa YouTube na baadhi ya websites lakini tatizo limekua likiendelea.
Natumia windows 10 pro 64-bit.
Natumia 64-bit na version zote ninazoingiza ni za 64-bitAngalia window yako je ni bits 32/64 je hiyo program yako inaingia katika window yenye bits ngapi nalo hilo angalia
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante. Lakini shida yangu haipo hapo.Microsoft Office 2019 Pro Plus v2011 | Free Download
Microsoft Office 2019 is the latest version of the industry standard office suit . Microsoft Office 2019 Software includes the latest versions of Word, Excel, PowerPoint, Outlook, Exchange, SharePoint and Skype for Businessekhayasoftware.blogspot.com
Jaribu hiyo hapo naona package zao zipo vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ingia local disk c futa file zote zinazo relate na Microsoft office Kisha restart PC try kuinstall upya hiyo office uipendayoNashindwa kuinstall Microsoft office kwenye laptop yangu. kila nikijaribu inakuja na ujumbe wa "Something went wrong". Nimejaribu kila njia zinazoelekezwa YouTube na baadhi ya websites lakini tatizo limekua likiendelea.
Natumia windows 10 pro 64-bit.
Je kwenye pc yako hujainstall microsoft office nyingine?Nashindwa kuinstall Microsoft office kwenye laptop yangu. kila nikijaribu inakuja na ujumbe wa "Something went wrong". Nimejaribu kila njia zinazoelekezwa YouTube na baadhi ya websites lakini tatizo limekua likiendelea.
Natumia windows 10 pro 64-bit.
Jaribu ku screenshot control panel yako kwenye Ms office na ile error tuone au unaweza jaribu Ms office 2007 Kisha tutaendeleaNilifanya hivyo mkuu lakini tatizo bado lipo.
Tuma picha ya installed programs toka kwenye control panel na picha ya hiyo error.Nilishafanya hivyo mkuu.
Jaribu ku screenshot control panel yako kwenye Ms office na ile error tuone au unaweza jaribu Ms office 2007 Kisha tutaendelea
Tuma picha ya installed programs toka kwenye control panel na picha ya hiyo error.
Pia inawezekana hiyo setup ni mbovu.
Nenda getintopc ndio wanazo setup nzuri zaidi.
Itabidi nifanye hivyo maana hata me nilikua na wasiwasi nayo hiyo.Hiyo office proffesional plus inafanya kazi? Mbona inasema tayari ipo ndani ya pc?
Hiyo setup uliyonayo sio common lazima itakusumbua. Nenda get into pc search office ya 2013 64bit haisumbui kuinstall.
Size ya setup uliyoidownload ni ngapi?Itabidi nifanye hivyo maana hata me nilikua na wasiwasi nayo hiyo.
Umedownload kitu sicho kuwa makini isijekuwa umebeba virusi. Office 2013 haifiki hata 1GBNi 6.49GB