habari wana jamii?
Tafadhali mwenye software ya canon photocopy iR2016 anisaidie wandugu. Mimi nipo mtwara na nina hii machine nashindwa kuitumia.
natanguliza shukrani zangu
habari wana jamii?
Tafadhali mwenye software ya canon photocopy iR2016 anisaidie wandugu. Mimi nipo mtwara na nina hii machine nashindwa kuitumia.
natanguliza shukrani zangu
Mkuu hiyo photocopy unaweza ukaprint ndio ninayoitumia ofisini ndio maana nikamuuliza muhusika anataka kuitumia kama printer kwani you think software ya hiyo mashine ataifunga kwenye nini?
Ingia katika web site ya canon itafute hiyo photocopy mashine yako katika seach (ir2318) kisha download na kuinstall wakati umeifunga tayari katika computer yako utafanikiwa.