Berbadetha
Member
- Dec 9, 2016
- 20
- 8
Hii haitaji akili isipokuwa Kumkiri Yesu Kristo kwa kinywa chako kuwa ni Bwana na kuamini moyoni mwako kuwa Mungu alimfufua katika wafu utaokoka.Baada ya hapo utapokea nguvu ya Roho mtakatifu Yeye atakujulisha na kukutia katika kweli yote.Tutumie akili za vipi,ili tumjue Mungu ??
Mungu gani alimfufua wakati yeye mwenyewe ni mungu? Au kuna mungu wangapi?Hii haitaji akili isipokuwa Kumkiri Yesu Kristo kwa kinywa chako kuwa ni Bwana na kuamini moyoni mwako kuwa Mungu alimfufua katika wafu utaokoka.Baada ya hapo utapokea nguvu ya Roho mtakatifu Yeye atakujulisha na kukutia katika kweli yote.
Ni vema umeuliza hayo yote.Kama waislam mnampenda YESU na kumfuata mafundisho yake, [HASHTAG]#swali[/HASHTAG],
Ni muislam yupi duniani amewahi kumpokea na kumkiri YESU kuwa mwokozi wa maisha yake? Sasa mwampendaje au mwamfataje pasipo kumpokea, au unamaanisha kusoma mafundisho yake kama gazeti,?
YESU unampendaje pasipo kupenda anayoyaagiza uyatende? Kama ungelikuwa unafuata mafundisho yake haikuwepo haja ya kupost, OK mmshindwa kujua Kama ni mwana wa mungu, kwanni hamsomi habar za manabii waliotabiri ujio wa YESU, miaka million kabla yake.
YESU alibatizwa, YESU alishiriki meza ya bwana
YESU alimpokea roho matakatifu, mna sababu gani za kutotimiza hayo yote kama mnampenda, sisi kwa jina la YESU tunatoa mapepo, tunaachilia uponyaji kwa wagonjwa, tunawafungua waliotekwa na nguvu za giza kwa jina na damu yake YESU, nyinyi mna nni juu ya jina lake, au walio watafsria kitabu kitakatifu ndio waliowakosesha neema hii?
Kwa Quran mnampiga mtu mapepo, sisi kwa Bible tunayatoa kwa jina la YESU. Jina leny mamlaka, uponyaji, nguvu, uzima na lililobeba utukufu wa MUNGU.
Ukielewa hii wala husijibu chochote
Soma warumi 10:9Mungu gani alimfufua wakati yeye mwenyewe ni mungu? Au kuna mungu wangapi?
Sijaona jibu hapoTaarab asili yake ni pwani kwenye waislam.sishangai.
tulizana jikoni upiiike
Wewe muislam uwe na jambo jema kwa mkristo kutoka kwenye quran????HAINA JAMBO JEMA zaidi ya BIBLE hiyo gazeti. labda kuunguliwa na nyumba.
Ume quote post yangu lakini hujajibu nilichouliza..Kasema Yesu aliumbwa kabla ya Dunia na Mbingu.
MUDA UTATUJULISHA.Ni vema umeuliza hayo yote.
Labda nianze kwa kukupa pole kwa kuhisi unampenda Yesu haliyakua haufati lolote katika mafundisho na matendo yake. Na kwa bahati mbaya unajiona unafata.
1. Tuanze na suala lako la kumpokea kua mwokozi wa maisha yetu.
Sidhani kama hauyafahamu maneno ya Yesu mwenyewe aliposema.
"BABA HATOBEBA MZIGO WA MWANA NA WALA MWANA HATOBEBA MZIGO WA BABA. KILA MMOJA ATABEBA MZIGO WAKE MWENYEWE. "
Yesu kasema hivyo na sie waislamu tunaamini hivyo. Hatudanganywi na kina Paulo wanaobadili na Kusema amini na uokoke.
Sasa nani anamfata na nani hamfati?
2. Kuhusu suala la kusema tunampenda na hatufati maagizo yake pia unakosea.
YESU alisema Muabudu Mungu Baba Pekee. Na ndivyo tunavyofanya Waislamu wote. YESU ALISALI Kwa kusujudu na akasema MSUJUDIE BABA MUNGU WAKO PEKEE. nadhani imeshafahamu kua waislamu ndio Tunasali kwa kusujudu na wakristo kwa kukaa juu ya mabenchi.
3. Suala la Yesu kua mwana wa Mungu nalijibu pia kwa maandiko ya biblia yasemayo:-
"Msihuzunike kwa maana naenda Kwa Baba yangu ambae NI BABA YENU. na kwa MUNGU WANGU AMBAE NI MUNGU WENU.
hivyo Yesu kishasema baba yake ni baba yetu. Hivyo hata sie sote mimi na wewe ni wana wa Mungu. Na neno "wana wa Mungu" limetumika sana.
4.Suala la wewe kusema unatoa mapepo kwa Jina la Yesu.
Nalijibu pia kwa Maneno ya YESU yanaosema
Watakuja manabii wengi wa uongo. Watafanya miujiza mingi na WATAPOTOSHA WENGI.
PIA Naomba nichomekee kaswali kangu hapa. KANISA NI ENEO TAKATIFU? Kama ni eneo Takatifu HAYO MAPEPO machafu yanayotolewa ndani ya makanisa Yameingiaje humo ndani? Maana pepo chafu haliwezi kuingia eneo takatifu. Au labda sio Patakatifu?
Baada ya hayo nadhani utakua umeelewa kwamba waislamu ndio Tunafata maamrisho na makatako ya Manabii wote ikiwemo Yesu.
Soma vizuri kuna maswali pia nimeyauliza hapo na nitahitaji majibu.
Nipe jibu ww uliye somaSoma warumi 10:9
Mnamfuata Yesu yupi?Pole ndugu. Nikufunze Jambo ambalo ulikua hulifahamu. Waislamu tunampenda sana Yesu. Na Mambo mengi sana alioyafundisha Yesu sio ndio tunayafuata na kuyatekeleza .ukitaka ushahidi ntakupa.
Kuna uhusiano kati ya Uarabu na Uislam...Suala la uarabu halihusiani kabisa na dini ya kiislamu. Kuna warabu wengi tu ambao sio waislamu tena. Inaonesha unachuki binafsi na waarabu hivyo nakupa pole.
Acha kudanganya bwana mdogo,umeandika AntiChrist halafu unasema huyo ni mpinga Yesu kwa namna ipi,hapajaandikwa antiJesus hapo bwana mdogo,au huelewi kuna tofauti hapo?Tatu Anti-christ ni mpinga Yesu and so far mie naona wakristo wengi ndio mnaompinga Yesu maanq mnaenda kinyume kabisa na yote alioyafunza.
Ni maswali gani ameshindwa kujibu huyo ndugu?Sasa kama umeshindwa kujibu maswali niliyoyauliza ni bora ungekaa kimya tu kuliko kuongea vitu visivyo na maana yoyote.
Hivi nabii na Mungu nani Zaidi?Kila kinywa kitamtaja kuthibitisha unabii kukifikia.
Anza na huyu hapa www.alisina.org na utapiga hela humo...Nasikitika kukwambia hujui kuhusu uislamu. Yeyote anaefahamu kuhusu uislamu basi hawezi hangaika na dini zingine.
Ahh kumbe nimsubirie tu. Raha kweli.okay wacha nisubiriYes.subiri kila jambo na wakati wake.huu ni wakati wako kutojua ukifika wa kujua hutahitaji msaada ,utajua tu.
Hebu nikuulize. Hizo nafsi tatu za Mungu zote zinanguvu sawa? Au kuna nafsi inanguvu Zaidi?Unabisha kwasababu humtambui Roho mtakatifu na kazi zake.Biblia inasema wote wanaoongozwa na Roho ndio wana wa Mungu.
NDIO ZINA NGUVU SAWA.OverHebu nikuulize. Hizo nafsi tatu za Mungu zote zinanguvu sawa? Au kuna nafsi inanguvu Zaidi?
Kwanini Mungu Mwana hajui siku wala saa ya hukumu itakua Lini. Au hilo andiko hulijui? Kama wana nguvu sawa iweje mmoja ajue na mwingine asijue?. OverNDIO ZINA NGUVU SAWA.Over
Kuna Mtu Alisema Yesu kaumbwa kabla ya Mwanadamu wa Kwanza. Ndio mie nikamjibu kwamba kumbe kaumbwa!! Nawe ukauliza Yesu gani kaumbwa?Ume quote post yangu lakini hujajibu nilichouliza..
Nimeuliza Yesu yupi na sijauliza kama Yesu aliumbwa au hakuumbwa na ni wakati gani hilo lilitokea...
Nijibu,ni Yesu yupi mnasema aliumbwa?
Sioni sababu ya kuanza kirudia yote niliyoyaandika. Hebu pitia post vizuri ndio utaelewa mjadala wetu.Mnamfuata Yesu yupi?
Kuna uhusiano kati ya Uarabu na Uislam...
Mavazi rasmi ya Kiislam ni ya Kiarabu..
Lugha rasmi ya dini hiyo ni Kiarabu..
Hiyo ni mifano michache tu....
Acha kudanganya bwana mdogo,umeandika AntiChrist halafu unasema huyo ni mpinga Yesu kwa namna ipi,hapajaandikwa antiJesus hapo bwana mdogo,au huelewi kuna tofauti hapo?
Kuna sababu maalum huyo kuitwa Mpinga Kristo na siyo mpinga Yesu,hili ni somo maridhawa na unapaswa ujifunze sana kijana....
Ni maswali gani ameshindwa kujibu huyo ndugu?
huwez kuisoma biblia part b ukielewa nachokimanisha,Ni vema umeuliza hayo yote.
Labda nianze kwa kukupa pole kwa kuhisi unampenda Yesu haliyakua haufati lolote katika mafundisho na matendo yake. Na kwa bahati mbaya unajiona unafata.
1. Tuanze na suala lako la kumpokea kua mwokozi wa maisha yetu.
Sidhani kama hauyafahamu maneno ya Yesu mwenyewe aliposema.
"BABA HATOBEBA MZIGO WA MWANA NA WALA MWANA HATOBEBA MZIGO WA BABA. KILA MMOJA ATABEBA MZIGO WAKE MWENYEWE. "
Yesu kasema hivyo na sie waislamu tunaamini hivyo. Hatudanganywi na kina Paulo wanaobadili na Kusema amini na uokoke.
Sasa nani anamfata na nani hamfati?
2. Kuhusu suala la kusema tunampenda na hatufati maagizo yake pia unakosea.
YESU alisema Muabudu Mungu Baba Pekee. Na ndivyo tunavyofanya Waislamu wote. YESU ALISALI Kwa kusujudu na akasema MSUJUDIE BABA MUNGU WAKO PEKEE. nadhani imeshafahamu kua waislamu ndio Tunasali kwa kusujudu na wakristo kwa kukaa juu ya mabenchi.
3. Suala la Yesu kua mwana wa Mungu nalijibu pia kwa maandiko ya biblia yasemayo:-
"Msihuzunike kwa maana naenda Kwa Baba yangu ambae NI BABA YENU. na kwa MUNGU WANGU AMBAE NI MUNGU WENU.
hivyo Yesu kishasema baba yake ni baba yetu. Hivyo hata sie sote mimi na wewe ni wana wa Mungu. Na neno "wana wa Mungu" limetumika sana.
4.Suala la wewe kusema unatoa mapepo kwa Jina la Yesu.
Nalijibu pia kwa Maneno ya YESU yanaosema
Watakuja manabii wengi wa uongo. Watafanya miujiza mingi na WATAPOTOSHA WENGI.
PIA Naomba nichomekee kaswali kangu hapa. KANISA NI ENEO TAKATIFU? Kama ni eneo Takatifu HAYO MAPEPO machafu yanayotolewa ndani ya makanisa Yameingiaje humo ndani? Maana pepo chafu haliwezi kuingia eneo takatifu. Au labda sio Patakatifu?
Baada ya hayo nadhani utakua umeelewa kwamba waislamu ndio Tunafata maamrisho na makatako ya Manabii wote ikiwemo Yesu.
Soma vizuri kuna maswali pia nimeyauliza hapo na nitahitaji majibu.
Yap! Imani muhimu sana.Ili linaitwa jibu la kiimani zaidi yani la kondoo wa bwana :Teh Teh! !!!
Ukishafahamu kuwa Allah sio Mungu anayezungumzwa kwenye biblia wala hutapata taabu ya kuumiza kichwa bali utajikita kufanya yale yanayoagizwa kwenye imani yako. Sidhani kama umeshamaliza yale yote uliyoagizwa na imani yako na kwamba upo safi kwa ajili ya maisha yajayo kwa mujibu wa imani yako.Habari wana JF. naomba kufahamishwa kuhusu Yesu Mtoto wa Mariam. Je Imani ya Wasabato, Waroma na Madhehebu mengine wanamchukulia kama Nani? Je ni Mungu? Mwana wa Mungu ama Mtume wa Mungu? Asanteni.