JaffarMohammed
JF-Expert Member
- Nov 13, 2016
- 762
- 283
- Thread starter
-
- #261
Ohh kwa hiyo Yuda alinunua shamba baada ya Kufa?..Mkuu Huelewi Fungu,baada Ya Yuda kujinyonga they purchaised the place baada ya yeye kujinyonga Mfano ukajinyongee shambani kwetu alafu sisi tuuze lile shamba kwa ukoo wenu kwa hela!
Wa kwanza katika kila zama walikuepo. Yaani zama za firauni wapo walioanza kumkubali Mussa. Wapo waliokuwa wa kwanza kumkubali Ibrahimu nk. Nadhani utakua umeelewa..kwaio Mkuu hamna wa kwanza si ndio???
Mbona unatoka POVU Mapema sana? Suala la Jehanamu ni la wale ambao wanadhani kuna mtu aliwabebea mzigo waom bahati mbaya Yeye mwenyewe anayetuhumiawa kubeba mizigo ya watu alisema "mwana hatobeba mzigo wa baba na wala baba hatobeba mzigo wa mwana.aliongea hayo kwa namna ya kibinadamu kipindi alichokuwa amevaa mwili wa mwanadamu (ila roho ya Mungu), mwanadamu ana sehemu kuu tatu, mwili nafsi na roho, na Mungu naye ana roho, nafsi, mwili hana ila kipindi kile alivaa mwili ili achukuliane na sisi tulio katika mwili. hivyo yesu kwasababu sasaivi hana mwili tena, ni Mungu yuleyule ndio maana alisema mimi na baba tu umoja yaani ni kama mwili mmoja tu katika roho. hivyo, kama ni swali kama hilo lako, ni sawa na kuniuliza kwamba "unajua moyo una mkuu wake mwingine aliye juu yake na aliye na mamlaka juu yake?//.....ambao sijui utasema ni akil au ubongo au chochote utakachoamua kusema. soma hayo niliyokuambia hapo juu, kama hautasoma, nyamaza kimya subiri jehanum. bye.
Hivi Mungu akisema usizini unahitaji mediator gani hapo? Mungu akisema mzinzi apigwe mawe hadi Afe wewe nini ambacho wewe hujakielewa mpaka aje Roho mtakatifu tena akutafsirie?..we are sin oriented,nature Yetu ipo opposite na Mapenzi Ya Mungu henceforth our understanding too mfano unavyofikiria wewe thats why we need a mediator which is the Holy spirit that revealed and inspired the prophets to write what they wrote ILI kuyaelewa ILA maneno ya Mungu sio magumu
..nani mwanzilishi sasa wa dini ya kiislamu,maana sikuelewi mkuu!!Wa kwanza katika kila zama walikuepo. Yaani zama za firauni wapo walioanza kumkubali Mussa. Wapo waliokuwa wa kwanza kumkubali Ibrahimu nk. Nadhani utakua umeelewa
kaka ni kwasababu kwa uwezo wako huwezi kushinda dhambi. unawapiga mawe kweli lakini kama wewe ungekuwa unapigwa mawe tangu ulipoanza kuzini, sasaivi ungekuwa hai? jiambie nafsi yako hapo tangu umezaliwa haujawahi kuzini? na kwani wanaopigwa mawe wakizini ni wanawake tu wanaume hamuwapigi mawe? mnaishi kimwili ndio maana mnaupiga mwili mawe, kumbe mmesahau kuwa dhambi huanzia rohoni na roho hamna uwezo kuipiga wala kuiokoa ila Mungu kwa njia ya kafara la Yesu Kristo. period.Hivi Mungu akisema usizini unahitaji mediator gani hapo? Mungu akisema mzinzi apigwe mawe hadi Afe wewe nini ambacho wewe hujakielewa mpaka aje Roho mtakatifu tena akutafsirie?
..In both verses Mathew na Acts hamna sehemu ambayo yuda alihusika moja kwa moja kununua shamba,but rather the pharesees sasa kwann wameandika Yuda alinunua??kwa sababu mafarisayo hawakuchukua zile hela walizikataa kwaio zikawa bado ni Yuda's possesion ndo wakaenda kununua shamba alipojinyongea.wakati haya yote yanatokea Yuda alikua ashakufa tayari!!!!!!Ohh kwa hiyo Yuda alinunua shamba baada ya Kufa?
Maana andiko linasema na Yuda alinunua shamba kwa fedha alizozipata kwa njia ya ubadhilifu. Na akiwa huko shambani alianguka na matumbo yake yalipasuka.
Au husomi maandiko? Sasa wewe unasema makuhania walinunua lile shamba alilofia. Mbona unazidi kujichanganya
..umenipa Mfano wa mafungu unayoyaelewa na hayo usioyaelewa utayaelewa vipi sasa kama hio case scenario ya Yuda??? si ndo unaishia kusema Bibla inajichanganya kumbe wewe ndo huelewi kituHivi Mungu akisema usizini unahitaji mediator gani hapo? Mungu akisema mzinzi apigwe mawe hadi Afe wewe nini ambacho wewe hujakielewa mpaka aje Roho mtakatifu tena akutafsirie?
Vizuri. Tukienda hivi tutaelewana pole pole.Mimi nilikua na jiuliza tu kama swa la trinity of god/ utatu wa mungu. Ninavyofahamu utatu wa mungu unauhusiano na kuzaliwa bila mariam kuhusiana na mwanaume. Sasa sijui bibilia na kuruani inasemaje. Swala la nani mkuu naona tutatoka nje ya mjadala wa utatu maana kuna hatawanyama nao waliumbwa bila baba na mama na kuna mitume walikua na baba na mama
Uislamu upo tango mwanadamu wa kwanza. Au hujaelewa maana ya uislamu?..nani mwanzilishi sasa wa dini ya kiislamu,maana sikuelewi mkuu!!
Jamani Mungu tena anakua wa kumtoa mtoto wake kafara. Pia suala la kumpiga mtu mzinzi kuuliwa liko katika biblia sio maneno yangu binafsi.kaka ni kwasababu kwa uwezo wako huwezi kushinda dhambi. unawapiga mawe kweli lakini kama wewe ungekuwa unapigwa mawe tangu ulipoanza kuzini, sasaivi ungekuwa hai? jiambie nafsi yako hapo tangu umezaliwa haujawahi kuzini? na kwani wanaopigwa mawe wakizini ni wanawake tu wanaume hamuwapigi mawe? mnaishi kimwili ndio maana mnaupiga mwili mawe, kumbe mmesahau kuwa dhambi huanzia rohoni na roho hamna uwezo kuipiga wala kuiokoa ila Mungu kwa njia ya kafara la Yesu Kristo. period.
wanakondoo huwa hawa hoji wala kuuliza kila wanaambiwa wanameza tu ongereni sanaYani mungu kaumba vyote ivyo kwa ajili ya mwanae alafu akubali apigwe misumari na kuwekwa uchi hadharani. .....Ebu stuka kidogo bhana.
Islam Translate ButtonUislamu upo tango mwanadamu wa kwanza. Au hujaelewa maana ya uislamu?
Andiko linasema YUDA ALINUNUA SHAMBA NA AKIWA HUKO SHAMBANI KWAKE ALIANGUKA AKAPASUKA...In both verses Mathew na Acts hamna sehemu ambayo yuda alihusika moja kwa moja kununua shamba,but rather the pharesees sasa kwann wameandika Yuda alinunua??kwa sababu mafarisayo hawakuchukua zile hela walizikataa kwaio zikawa bado ni Yuda's possesion ndo wakaenda kununua shamba alipojinyongea.wakati haya yote yanatokea Yuda alikua ashakufa tayari!!!!!!
unaweza kunijibu swali ni kwanini wewe unaabudu dini ambayo mungu wake anaruhusu kufuga majini na majini ni rafiki yake?Andiko linasema YUDA ALINUNUA SHAMBA NA AKIWA HUKO SHAMBANI KWAKE ALIANGUKA AKAPASUKA.
jamani mbona verse iko wazi . Alinunua shamba na alipokua huko shambani kwake alijikwaa akaanguka akafa. Shamba limenunuliwa na Yuda kwanza na baada ya kununua shamba ndio akafa. Sasa mbona unabadili maandiko. Kama Yuda alikua kishakufa ndio wakanunua shamba inamaana marehemu alinunua shamba?
Boss mpaka sasa umeshindwa kusema Nani Alinunua shamba je ni Yuda au ni makuhani?..umenipa Mfano wa mafungu unayoyaelewa na hayo usioyaelewa utayaelewa vipi sasa kama hio case scenario ya Yuda??? si ndo unaishia kusema Bibla inajichanganya kumbe wewe ndo huelewi kitu
..Mkuu kama hujaelewa Hilo fungu mpka sa Hizi wewe ndo una tatizo Maana Yake nishaielezea kinagaubaga sasa If ur Gonna stick to ur Understanding uliopewa na watu wasiojua Biblia endelea ILA am sorry to dissapoint you najua ulihisi Hilo Fungu haileweki nenda wakuambie JingineAndiko linasema YUDA ALINUNUA SHAMBA NA AKIWA HUKO SHAMBANI KWAKE ALIANGUKA AKAPASUKA.
jamani mbona verse iko wazi . Alinunua shamba na alipokua huko shambani kwake alijikwaa akaanguka akafa. Shamba limenunuliwa na Yuda kwanza na baada ya kununua shamba ndio akafa. Sasa mbona unabadili maandiko. Kama Yuda alikua kishakufa ndio wakanunua shamba inamaana marehemu alinunua shamba?
Nioneshe wapi katika andiko Mungu anaruhusu kufuga Majini?unaweza kunijibu swali ni kwanini wewe unaabudu dini ambayo mungu wake anaruhusu kufuga majini na majini ni rafiki yake?
kama unabisha hapo, vipi, inakuwaje kitabu chenu kinatambua kuwa kuna majini mazuri namajini mabaya. vilevile, kwanini meshehe wengi wanauza dawa za kienyeji/waganga wa jadi?au hao vitabu vyenu vinawatambua..Nioneshe wapi katika andiko Mungu anaruhusu kufuga Majini?
Halafu uniqmbie pia nani alimuumba shetani.
Ukianiambia hayo ntafurahi sana.