Nahitaji mtu mwenye kufahamu ili tatizo simu yangu ya huawei inatatizo, nikipiga picha nikiingia kuzifungua zinakuwa black ama zinafunguka nusu..ni nini tatizo litakuwa.
kama savings za download zako zinaingia kwenye internal storage huwa inakuwa hivyo, kwani space yake inawahi kujaa, fanya memory card yako kuwa ndiyo default storage hilo tatizo litakwisha.