nchelegwanzingi
JF-Expert Member
- May 19, 2013
- 468
- 277
Mkuu, unakwenda Rombo kikazi...?
Naamini ana nia ya kuchangamkia fursa....
Mkuu, unakwenda Rombo kikazi...?
Nimemsoma hivyo pia.
Rombo kwa sasa ndo habari ya mujini. Atakuta hoteli zimejaa Wakenya waliokwenda kikazi pia....
Naamini ana nia ya kuchangamkia fursa....
Nenda belleview hotel mkuu
Yes mkuu kikazi nakwenda
Mkuu, nakutakia kazi njema huko Rombo....
Dah sasa hawa wakenya inakuwaje tena huko?
Hapo willayani kiongozi
kama kazi itakuwa inaeleweka nishitue nije nikusaidie maana nasikia huko kazi nje nje
umekodishwa nini?habari zenu wakuu
nimepata safari kidogo ya kikazi toka huku kwetu usukumani salawe sasa kwa wenyeji wa rombo naomba msaada wa hotel ya kufikia hapo, kazi yangu itachukua wiki 2
nawasilisha
Safari njema kiongozi......wasalimie wakenya nasikia wengi sn hapo