P Ptz JF-Expert Member Aug 23, 2011 541 384 Aug 23, 2012 #1 Jamani mimi nimechaguliwa udsm kwa master program na niko Sumbawanga nitapataje hostel kwa campus ya mlimani? Msaada please, joining nimepata regstration inaanza tar 17 Septemba.
Jamani mimi nimechaguliwa udsm kwa master program na niko Sumbawanga nitapataje hostel kwa campus ya mlimani? Msaada please, joining nimepata regstration inaanza tar 17 Septemba.
MATESLAA JF-Expert Member Aug 11, 2011 1,246 74 Aug 23, 2012 #2 Aiseee baba yangu ingekuwa vizuri umtafete mkandala au maboko nadhani ndio wausika
M MTITIMA Member May 31, 2011 23 4 Aug 24, 2012 #3 Masters UDSM huwa kuna hostel zao special nadhani na huwa hazina shida sana mkuu