Nilikuwa naomba msaada wa vyumba vya hostel karibu na chuo cha Uhasibu kurasini, kikiwa self contained na kuna kitanda kabisa itafaa zaidi naomba msaada wenu. Kama bei inafahamika pia naomba mnisaidie

Ungepost jukwaa la Elimu ungepewa Majibu fasta.. Ila pale navyojua vyumba unavyotaka vipo pale mitaa ya kwa aziz Ally, sabasaba, na kama u naelekea Uhamiaji.
Habari wana JF, nilikuwa naomba msaada wa hostel karibu na chuo cha uhasibu kama mkinisaidia hostel zenye chumba self contained na ni cha m2 mmoja, basi mtakuwa mmenisaidia zaidi, NAWASILISHA.
Nilikuwa naomba msaada wa vyumba vya hostel karibu na chuo cha Uhasibu kurasini, kikiwa self contained na kuna kitanda kabisa itafaa zaidi naomba msaada wenu. Kama bei inafahamika pia naomba mnisaidie
Ungepost jukwaa la Elimu ungepewa Majibu fasta.. Ila pale navyojua vyumba unavyotaka vipo pale mitaa ya kwa aziz Ally, sabasaba, na kama u naelekea Uhamiaji.
Acha undezi wewe...
Wewe unaiona post yake Leo.. Mimi nimeiona post yake Toka ikiwa na dakika 10 Toka ipostiwe.. Na ilipostiwa kwenye jukwaa la Habari na hoja mchanganyiko.
Nicacoment mods wailete kwenye Elimu ili apate Majibu ya fasta.. Ww unakurupuka huko umekula maharage ya Jana.. Hata hujui kinachoendelea unaropoka tu.