1. Jamani naomba tofauti ya neno dondoka na anguka
2. Pia naomba tofauti ya neno lala na sinzia
"DONDOKA" NI KWENDA CHINI KUTOKA JUU (HASA KUPITIA KWENYE ANGA),
"ANGUKA" NI KWENDA CHINI KWA KITU AMBACHO KILISIMAMA (HASA WIMa).
"LALA" NI KUWA KATIKA USINGIZI KABISA.
"SINZIA" NI KUELEKEA USINGIZI ILA UKIWA NA HALI YA KUSHITUKASHITUKA(SIO USINGIZI KAMILI).