Msaada wa haraka

Kumbukumbuyatorati

Senior Member
Joined
Jul 27, 2018
Posts
152
Reaction score
222
Jamani mimi uhakiki wa cheti cha kuzaliwa unashindikana nifanyaje?
Au nitumie kwa kulipia kwenye simu nifate utaratibu gani?
Naomba mnisaidie jamani
 
Jamani mimi uhakiki wa cheti cha kuzaliwa unashindikana nifanyaje?
Au nitumie kwa kulipia kwenye simu nifate utaratibu gani?
Naomba mnisaidie jamani
Kama mpk sasa hujatatuliwa, nenda ofisi za RITA- POSTA, DAR ES SALAAM
 
Jamani mimi uhakiki wa cheti cha kuzaliwa unashindikana nifanyaje?
Au nitumie kwa kulipia kwenye simu nifate utaratibu gani?
Naomba mnisaidie jamani
Kama ulituma photocopy jaribu kuscan cheti original na lipia kwa simu.. hakikisha entry number umeiscan vizuri na tengeneza email mpya ya kutumia RITA.
Niliyokuambia nimeyafanya na yamenisaidia .Before nilituma kikakaa wiki tatu hakikujibiwa ila nikafanya nilivyokuambia kikajibiwa in three days
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…