Jamani hivi form six wanahusika katika ku apply dip au ni dip ndo wana aply kwend degreee na je kwa wale form six waliokosa sifa za kwenda degree nin hatima yao ....
Form six wanahusika katika ku apply dip..
Dip wana aply kwenda degreee..
Wale form six walikosa sifa kwenda degree wanaenda dip
[emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]