Msaada wa Haraka

daraja limevunjika wakati gari lina pita au gari lilipita wakati daraja limevunjika?
 
JAMANI HIZO NI ZILE DAWA ZA KUTOKEA KEKO TANGU 2012
 
Gari limetumbua daraja! Kazi ipo
 
Hiyo mbona kama editing
kama tuko sawa; barabara haionekani, madaraja/makaravati madogo yanakuwa na vibao vya uzito wa gari unaoruhusiwa, kwa mzigo huo (mkaa k. v) ni ngumu gari hiyo kupanda miinuko ya hilo bonde
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…