Kwenye selection waangalia kwanza waliomaliza hivi karibuni ikitokea kuna mahali mmefungana kimatokeo.
Pili wanafunzi wanaomaliza form six kila mwaka wanaongezeka na compition vyuoni inakuwa kubwa.
Ushauri wangu tafuta vyuo ambavyo havina compition kama St John, TIA, IIA n.k jaribu kuomba halafu ukikosa rudi huku kwa mazungumzo zaidi.