Msaada wa haraka wakuu

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,257
Reaction score
22,131
Habari wakuu,

Straight to the point, tangu majuzi simu yangu imeanza tatizo ambalo linanikera mno na kuninyima raha. Unaweza ukadownloadf app vizuri, issue inakuja kwenye ku-allow app permissions. Yaan inagoma kabisa hata uclick mara mia.

Mfano ukute App inataka permission ya contacts, ikija ile pop up ukijaribu kuclick allow hamna kitu yaan mpaka nashindwa kuelewa nini tatizo.

Nlipitia kule xdevelopers kuna mtu akasuggest inawezekana some apps nime-enable option ya draw over other apps lakini nikaenda Kyle app zote nikaweka off kwenye kipengele cha kudraw over but still the problem persists. Naomba msaada wakuu

Cc: Chief-Mkwawa
@Mwl.RCT
 
reset app preference, setting kisha apps nafikiri ipo hapo hio menu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…