Msaada wa haraka wakuu

mkuu peleka Mtoi hosi ufanye dna test ukiona ni wa kwako. endelea na maisha yako wanawake hawachungiki.sheytani mwenyewe amenyanyua mikono juu.
 
Mkuu pole Sana
 
Kweli umechanganyikiwa hadi kuandika vizuri kumekushinda. Pole sana, ila ni vyema ukazungumza na mkeo kwanza.
 
Kwa mwandiko huo kweli unahitaji msaada!

Kosa ulofanya ni kurudisha namba kwenye pochi.

Pole Mkuu, mueleze mkeo! Mkanye hiyo tabia yake ukiilea mwisho wake sio mzuri
 
Pole sana mkuu,muhudumie mkeo kwa matumizi n.k....
 
Endeleeni na maisha, hilo katika ndoa haliepukiki. Hata wewe kuna namba ambazo anazitilia shaka lakini ametulia tu.

Kikubwa kaa nae na uongee nae, hiyo namba hata ungechana kikaratas ipo kichwani.

#mwanamke hachungwi
Samahani mkuu
Nipo interested na signature yako
Hivi ni mwanamke hachungwi? au mwanaume hachungwi? au wanandoa hachungwi? au wanandoa wasichungane?
 
Samahani mkuu
Nipo interested na signature yako
Hivi ni mwanamke hachungwi? au mwanaume hachungwi? au wanandoa hachungwi? au wanandoa wasichungane?
"Mwanamke hachungwi" ni kwasababu hawa watu wanamienendo ya siri sana. Yaani unalolijua unaweza kukuta sio kweli, ni rahisi kwa mke kumfuma Mme kuliko Mme kumfuma mke.

Wanaume huwa hatuwezi kubalance upendo, pale tunapokuwa na michepuko lazima mke atashtuka tu. Lakini kwa mwanamke itakuchukua muda sana, ndio maana tunasema mwanamke asichungwe ili maisha yaende.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…