Blank page
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 6,162
- 6,307
Download program inaitwa kmspico itakusaidiaanaefahamu activation code ya windows 8.1 jamani naomba anisaidie au jinsi ya ku activate hiyo window please wakuu maana kila mara napata ujumbe wa kuactivate window kwa maana hiyo product key yao sina.nawasilisha wakuu
nimeidownload hapa mkuu nipo nayo ila jinsi ya kuitumia na kuifungua ndo shida inagoma kufunguka......msaada please more infozDownload program inaitwa kmspico itakusaidia
Download winrar kama alivyosema mdau then extract utaikuta program yako ndan...nimeidownload hapa mkuu nipo nayo ila jinsi ya kuitumia na kuifungua ndo shida inagoma kufunguka......msaada please more infoz
asante mkuutumia winrar kuifungua attacment hii hapo, steps zinazofata zinajieleza zenyewe.
karibu tenaasanteni sana wakuu kwa msaada wenu coz nimefanikiwa kufata maelezo na apps zenui nimefanikiwa kuactivate my window mbarikiwe sanaaaaaaaaaaaaa
asanteee sanakaribu tena
MKUU NIMEJARIBU NA MIMI LAKINI IMEKAATA KUACTIVATE WINDOW 8.1 PROinawezakana hyo program iko kwenye rar type, unaweza ukadownload pia WinRAR program then ukalifungua uka activate, au kama vipi ni inbox nkutumie email nkurushie mana file zote hzo na program siyo kubwa sana
Download KMspico ya aina nyingine, ukiichukulia kwenye torrents ni bora zaidi.MKUU NIMEJARIBU NA MIMI LAKINI IMEKAATA KUACTIVATE WINDOW 8.1 PRO