Habari zenu ndugu zangu,
Naomba kuuliza kwa wale waliofanikiwa kupata kazi wizara ya ardhi na kutakiwa kuripoti tarehe 4 kazini.
Kama tunavyojua tarehe hiyo itakuwa ni sikukuu, je Kuna mabadiliko yoyote ya tarehe ya kuripoti au twende tu tarehe hiyo hiyo? Natanguliza shukrani.