Msaada wa Haraka Unahitajika,

Sijaelewa, unashindwa Ku Download ao nini?
 
Nikajua umebanwa na mlango, mambo ya kifyenge kututia mpesha.
 
Swali lakizushi Monsieur le Baron!!! Ilo jina unafaham maana yake na Historia yake?[emoji1] [emoji1]
 
Nenda MENU ingia SETTINGS pitiliza mpaka DOWNLOADS shuka mpaka MY PHONE elejea IMAGES sokea mpaka IMPROVE ingiza ENTER. subiri itakuambia INITIALIZING tulia hapo mpaka upigiwe simu
 
Swali lakizushi Monsieur le Baron!!! Ilo jina unafaham maana yake na Historia yake?[emoji1] [emoji1]
yaah mkuu..[emoji28],mojawapo ya waleta demokrasia kule ulaya
 
Nenda MENU ingia SETTINGS pitiliza mpaka DOWNLOADS shuka mpaka MY PHONE elejea IMAGES sokea mpaka IMPROVE ingiza ENTER. subiri itakuambia INITIALIZING tulia hapo mpaka upigiwe simu
Mbn mkuu hiyo sehemu husika siioni
 
Kwa uzoefu wangu futa iyo app, kapakue nyingine. Ao jaribu kuzima kisha uwashe phone yako. Vinginevio subiri wajuzi waje.
Yaan,yenyewe nikifanya kupakua app nyingine bdo ni mizinguo.Haifanyi kazi yoyote
 
yaah mkuu..[emoji28],mojawapo ya waleta demokrasia kule ulaya
Nikweli BARON nimatajari wakubwa sana walio tokea ufaransa wakaungana na matajiri wengi huko barani ulaya kufanya mabadiliko za kisiasa. Ila wote walikuwa na imani moja. FRAMASONERIE, (FIRIMASONI[emoji1] [emoji1] ). Wapinga kristo, nawewe nikundi moja??
 
Wakishirikiana na Francois-mark arovet-voltaire,Fredick Engels,John locke nk
 
Nlikua nasubili materials ya huu Uzi lakn naona umekosa wateja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…