kutiana ni hisia, Angalia misosi yako (kula vyakula vya asili.. chemsha mihogo piga na uji wa lishe, supu ya samaki, mtindi, mboga za majani, dona n.k) maji ya kutosha mixer matunda.. piga mazoezi, pumzisha mwili na akili, ONDOA WOGA na JENGA KUJIAMINI uwapo 6kwa6.. MUOMBE NA MUNGU WAKO PIA.