Msaada wa haraka tiba ya mshipa wa ngiri

Msaada wa haraka tiba ya mshipa wa ngiri

Boeing787-8

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2018
Posts
1,202
Reaction score
1,296
Tarehe 24 mwezi wa 11, nilipata maumivu ya gafra ya korodani yaani korodani ya upande wa kushoto ilikuwa inauma yaani utadhani umewekewa kaa la Moto [emoji24].

Nilipanic Sana nka Google ilo tatizo nkadhani labda Ni Orchitis, au epididymitis, au testicular torsion. Maumivu hayo yalisababisha korodani asa ya kushoto kuvimba afu nkapata na homa. Basi niliona sehemu wameandika ukiumwa na korodani unywe mdarasini uliochanganywa na ndimu na iliki. Nilikunywa homa ikapoa Ila korodani maumivu na uvimbe Kama kawa.

Kuna doctor nilimuelezea Hali yangu akasema Ni ngiri, ikabidi niulzie dawa za kienyeji nkakutana na wamasai wakanipa dawa chungu hatari Ila ilikuwa kidogo nimeitumia kwa wiki Ile dawa, imenisaidia homa Sina ,kuvimba kumeisha korodani ipo kwenye Hali ya kawaida.

Maumivu yanakuja yanaisha,, Ila mshipa unaotoka kwenye korodani na kuongia kwenye paja unavuta Mara nyingi unaachia. Kwa wanaume wenzangu ngiri uchukua muda gani hadi kupona, je Kuna dawa nyingne ya kienyeji nayoweza kutumia ikaponyesha mazima?

Msaada tafadharii
 
Ngiri ni Hernia, ina maana ni tundu kwenye layer mojawapo za ngozi ambapo Utumbo au Mafuta ya Tumbo hupenya na kusababisha maumivu... Tiba huwa ni Operation sasa sijui kama kuna dawa inayoweza kuziba hilo tundu..

Kwa uhakika kapime Ultrasound waangalie hiyo Scrotum vizuri maana case yako inaelekea kwenye Epididymitis/Orchitis pengine na Hydrocele kidogo inaweza wepo...
 
Ingekuwa Orchitis au epididymitis ningeshapoa maana nishameza deoxyn
 
Hizo vitu siyo simple inategemea na stage,,, wengine inawachukua hata dozi zaidi ya tatu.. Fanya Ultrasound kwanza upate jibu kamili.
Hadi now maumivu nayasikia kwenye korodani ya kushoto kuvimba imeacha ma homa Sina, nimeitumia dioxyn na dawa ya kienyeji ya ngiri
 
Kuna wengine kukiwa na mawingu ndio hali hii huwapata...

Madhara yake sijajua ni nn hasa tofauti na kuvimba, maumivu
 
Hadi now maumivu nayasikia kwenye korodani ya kushoto kuvimba imeacha ma homa Sina, nimeitumia dioxyn na dawa ya kienyeji ya ngiri
Hiyo ni INGUINAL HERNIA. Kwa tiba za hospitalini ni upasuaji tu mtu asikudanganye.
Hata kama unajisikia nafuu, nenda pia hospitalini ukathibitisha kama shida yako imemalizwa na hiyo tiba mbadala.
Hima nenda, usichelewe, la sivyo kifuatacho si salama kwako.
Ugua pole.
 
Daaa upasuaji na Sina ATA mia maish a aya
 
Ngiri Ni kuchemsha mizizi ya ndula kunywa

IMG-20211204-WA0001.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom