M Mukundumbusya Senior Member Joined Aug 11, 2016 Posts 168 Reaction score 143 Feb 12, 2017 #1 Hiyo ni Tecno W4 imefanyiwa hardreset baada ya kuwaka inaleta kama inavyoonekana kwenye picha. Msaada tafadhali
Hiyo ni Tecno W4 imefanyiwa hardreset baada ya kuwaka inaleta kama inavyoonekana kwenye picha. Msaada tafadhali
Kabelwa JF-Expert Member Joined Mar 19, 2015 Posts 678 Reaction score 196 Feb 12, 2017 #2 Kama uko maeneo ambayo ziko ofisi za tigo,voda au airtel,nenda hapo watakusaidia ilimradi ukumbuke gmail yako na simu yako iwe na bundle
Kama uko maeneo ambayo ziko ofisi za tigo,voda au airtel,nenda hapo watakusaidia ilimradi ukumbuke gmail yako na simu yako iwe na bundle
S salum bonge2014 Member Joined Feb 17, 2014 Posts 16 Reaction score 6 Feb 12, 2017 #3 Nenda kaiflash itatoka gugo akaunt
Benfamous JF-Expert Member Joined Oct 10, 2016 Posts 484 Reaction score 375 Feb 12, 2017 #4 Kama simu yako ina warantty nenda tecno watakutengenezea vizurii tyu
mzaramo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2006 Posts 6,371 Reaction score 5,191 Feb 12, 2017 #5 Sasa Na wewe cha utundu ilikuaje mpaka ukafanya hard reset tena?!
ymollel JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 3,095 Reaction score 2,291 Feb 12, 2017 #6 Mukundumbusya said: View attachment 469857 Hiyo ni Tecno W4 imefanyiwa hardreset baada ya kuwaka inaleta kama inavyoonekana kwenye picha. Msaada tafadhali Click to expand... Mbona sijaona tatizo hapo.? Au ilivyosema select WIFI ndio shida?
Mukundumbusya said: View attachment 469857 Hiyo ni Tecno W4 imefanyiwa hardreset baada ya kuwaka inaleta kama inavyoonekana kwenye picha. Msaada tafadhali Click to expand... Mbona sijaona tatizo hapo.? Au ilivyosema select WIFI ndio shida?
mr chopa JF-Expert Member Joined Aug 26, 2016 Posts 5,296 Reaction score 13,740 Feb 12, 2017 #7 Mukundumbusya said: View attachment 469857 Hiyo ni Tecno W4 imefanyiwa hardreset baada ya kuwaka inaleta kama inavyoonekana kwenye picha. Msaada tafadhali Click to expand... Bonyeza hapo palipo andikwa add another network kisha fuata maelekezo
Mukundumbusya said: View attachment 469857 Hiyo ni Tecno W4 imefanyiwa hardreset baada ya kuwaka inaleta kama inavyoonekana kwenye picha. Msaada tafadhali Click to expand... Bonyeza hapo palipo andikwa add another network kisha fuata maelekezo
willy ze great JF-Expert Member Joined Apr 30, 2013 Posts 1,083 Reaction score 1,326 Feb 13, 2017 #8 Watanzania hizi smartphone mnanunua hata kingereza kidogo kama hiko hujui hapo chini kunaoption ya kuskip, skip maana yake endelea na kitu kingine..
Watanzania hizi smartphone mnanunua hata kingereza kidogo kama hiko hujui hapo chini kunaoption ya kuskip, skip maana yake endelea na kitu kingine..
B Benny Haraba JF-Expert Member Joined Dec 7, 2012 Posts 15,656 Reaction score 14,616 Feb 13, 2017 #9 Mukundumbusya said: View attachment 469857 Hiyo ni Tecno W4 imefanyiwa hardreset baada ya kuwaka inaleta kama inavyoonekana kwenye picha. Msaada tafadhali Click to expand... hiyo inaitwa FRP factory reset private security inatakiwa hapo ukumbuke google account yako na password yake
Mukundumbusya said: View attachment 469857 Hiyo ni Tecno W4 imefanyiwa hardreset baada ya kuwaka inaleta kama inavyoonekana kwenye picha. Msaada tafadhali Click to expand... hiyo inaitwa FRP factory reset private security inatakiwa hapo ukumbuke google account yako na password yake
M Mukundumbusya Senior Member Joined Aug 11, 2016 Posts 168 Reaction score 143 Feb 13, 2017 Thread starter #10 willy ze great said: Watanzania hizi smartphone mnanunua hata kingereza kidogo kama hiko hujui hapo chini kunaoption ya kuskip, skip maana yake endelea na kitu kingine.. Click to expand... Thanks, but i can read and understand than you ever imagined. Jirani yangu ndo ameniandikia.
willy ze great said: Watanzania hizi smartphone mnanunua hata kingereza kidogo kama hiko hujui hapo chini kunaoption ya kuskip, skip maana yake endelea na kitu kingine.. Click to expand... Thanks, but i can read and understand than you ever imagined. Jirani yangu ndo ameniandikia.
Sipendi Uchawa JF-Expert Member Joined Dec 19, 2016 Posts 7,942 Reaction score 12,504 Feb 15, 2017 #11 Mukundumbusya said: Thanks, but i can read and understand than you ever imagined. Jirani yangu ndo ameniandikia. Click to expand... Hiyo inaitwa Factory Reset Protection, inatakiwa utumie Miracle kuiflash, bei 15000 mkuu kama hutojali
Mukundumbusya said: Thanks, but i can read and understand than you ever imagined. Jirani yangu ndo ameniandikia. Click to expand... Hiyo inaitwa Factory Reset Protection, inatakiwa utumie Miracle kuiflash, bei 15000 mkuu kama hutojali
Sipendi Uchawa JF-Expert Member Joined Dec 19, 2016 Posts 7,942 Reaction score 12,504 Feb 15, 2017 #12 Tembelea fundi aliye jirani nawe
Pit brown Senior Member Joined Jun 30, 2015 Posts 132 Reaction score 64 Feb 15, 2017 #13 willy ze great said: Watanzania hizi smartphone mnanunua hata kingereza kidogo kama hiko hujui hapo chini kunaoption ya kuskip, skip maana yake endelea na kitu kingine.. Click to expand...
willy ze great said: Watanzania hizi smartphone mnanunua hata kingereza kidogo kama hiko hujui hapo chini kunaoption ya kuskip, skip maana yake endelea na kitu kingine.. Click to expand...