mazaga one
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 2,603
- 4,184
Ninatumia window 8.1 lakini PC yangu inashindwa kusoma media transfer nikichomeka USB ilhali vitu vyote vingine ina respond kama vile kucharge,camera lakini nikibonyeza sehemu ya media transfer inapotea na haionekani kwenye PC.Msaada wataalum.